GAZETI LA MADA · MTANDAONI@madamediatz
MADA
HABARI · MAWAZO · JAMII

Mahali pa habari, mjadala na mitazamo kuhusu jamii yetu.

BLOG YA GAZETI
Karibu MADA
Dawati rasmi la matangazo

Tangaza kwenye MADA

Fikisha ujumbe wa biashara, taasisi au tukio lako kwa wasomaji wa gazeti na blog ya MADA.

Omba nafasi ya tangazo →
Gazeti la kidijitali

Matangazo ndani ya gazeti

Ulizia nafasi ya ukurasa mzima, nusu ukurasa au robo ukurasa. Ukubwa, bei na upatikanaji vitathibitishwa na dawati la MADA kabla ya kuchapishwa.

Blog ya MADA

Matangazo kwenye blog

Wasiliana nasi kuhusu bango la biashara, tangazo la tukio au taarifa ya huduma. Muda wa kuonekana na eneo la tangazo vitakubaliwa na dawati letu.

Namna ya kuwasilisha tangazo

  1. Tuma jina la biashara au taasisi, maelezo ya tangazo na tarehe unayolenga.
  2. Ambatanisha picha, logo au tangazo lililo tayari pamoja na mawasiliano yatakayoonekana.
  3. Dawati la MADA litathibitisha nafasi, bei na mpangilio wa tangazo.
  4. Hakiki tangazo kabla ya kuchapishwa.
Wasilisha tangazo kwa WhatsApp Piga +255 692 409 595

Bei za matangazo hutolewa na dawati la MADA kulingana na nafasi na muda. @madamediatz

Tangazo · Office of MwangiliMkutano wa hadhara Luhota, Kilambo Igula; Dr Daniel Mwangili; 31 Oktoba 2026, saa 15:00–18:00

Mkutano wa hadhara · Luhota

Operation Uongozi Bila Kiti · Kilambo (Igula). Atahutubia Dr Daniel Mwangili.

31 Oktoba 2026 · 15:00–18:00